Thursday, August 14, 2014

NI CHAGUA LA MAISHA NA MAFANIKIO KUWA HII IWE PICHA YA WIKI ..UREMBO!!!

Kama watu wasemavyo ukitaka kupendeza basi  inabidi uvumilie....na urembo hauna utoto wala uzee. Nimependa hii picha maana ipo kiasili kabisa. Ila sijui anavua anapolala?

4 comments:

NN Mhango said...

Huyu kimwana ametokezea ile mbaya. Da Yacinta habari za Tallinn? Tere!Kuidas Sinul läheb? Aga sinul? Nadhani utakuwa umeokota maneno mawili matatu.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka yangu Mhango ! Ni kweli katokezea...kuhusu Tallinn salama aloilikywa safi sana...ila hiyo lugha yangu duh iilinishinda labda nikadumu wiki ila siku mbili tu mmmhhh ....ila mwenzangu naona unakimung'unya

Rachel siwa Isaac said...

Mmmhh urembo nao ukizidi...Kila kitu kwa kiasi..napita tuu waungwana.

Yasinta Ngonyani said...

Ndo hapo Kachiki kaaazi kwelikweli!!