Saturday, August 30, 2014

PICHA YA WIKI...SEHEMU FULANI TANZANIA..JE? UNAJUA WAPI?

Nimeipenda hii picha na nimeiona iwe picha ya wiki hii haya sema kama unajua hapa ni wapi?:-) ni mimi Kapulya wenu:-)

7 comments:

Mbele said...

Siwezi kusema ni wapi, bali panafanana kabisa na kwetu u-Matengo, mkoa wa Ruvuma.

NN Mhango said...

Nadhani ni mitaa ya Ruhuwiko kama siyo Molowo.

Anonymous said...

Labda ni Hedaru.nimewapenda watoto wanavyoishangaa bodaboda.ikipita gari si ndio wataikimbilia kabisa.
Mama wane.

Yasinta Ngonyani said...

Prof Mbele, prof Mhango na mama wane hapo si mkoa wa Ruvuma bali mkoa wa Iringa. Ahsante kwa mchango

Ester Ulaya said...

hiyo miti inadhihirisha ni Iringa dada

Yasinta Ngonyani said...

Mama Alvin .....upo sahihi ndugu yangu....

Jason James said...

hapo ni Lushoto. pale unapopanda