Monday, September 1, 2014

MLO WA JANA JIONI.....KARIBUNI!!!!

Hivi ndivyo mlo wetu wa jana ulivyokuwa:- Wali, nyama ya ngómbe na kabichi na hiyo ni sahani yangu kiteremshia ni maji

7 comments:

Manka said...

Asante sana,kwa hakika huu mlo unavutia mnooo,mie ngoja nikachukue glasi ya maji nile kwa macho.Nakutakia wiki njema Dada yangu.

Yasinta Ngonyani said...

Manka...ni kweli kilikuwa kitamu sana...karibu alo:-)

Rachel siwa Isaac said...

Mmmhh mlijinoma kweli alooo...mmebakisha?

NN Mhango said...

Msosi bomba sema mimi na nyama nyekundu mbingu na ardhi. Shukrani ila hunipati hapa dadangu.

Nicky Mwangoka said...

you make my mouth watered

Yasinta Ngonyani said...

Kachiki wa mimi...we njoo msosi upo ila wahi:-)
Kaka Mhango! Weww njoo si utakula kabichi:-)
Kska Nicky... nawe karibu usitamani tu!!!

Kaka Nicy

obat cytotec said...

obat telat bulan i think your blog very informative cytotec thanks for sharing obat penggugur