Wednesday, September 24, 2014

PICHA YA WIKI!!!

NAWATAKIENI WOTE SIKU NA MAJUKUMU MEMA ...KUMBUKA SISI SOTE NI NDUNGU!!

7 comments:

Mama Wane. said...

ahsante dada Yasinta nanyi pia muwe na siku njema.Hakika sote ni ndugu na Maisha na Mafanikio ndio NYUMBANI kwetu.

Ester Ulaya said...

asante dada. nawe pia. sisi sote ni ndugu hasaa

Yasinta Ngonyani said...

Mama Wane! Siku iliisha vema twamshukuru Mungu!
Mama Alvin! Ahsante kupita hapa na kuacha lako la moyoni.

Anonymous said...

Naona kainua kidole, utakuta anasema nani kakuruhusu kupiga picha. Hapo kwenye picha sijui ni wapi? By Salumu.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Salumu! yaani inawezekana kabisa anasema hivyo sikuwaza hivyo kwa kweli,,,,,,,

NN Mhango said...

Kuna wengine ndugu yao ni wa dini yao. Hayo tuyaache. Waafrika wote ni ndugu hata wenzetu watubague kwa vigezo uchwara vipi.
Kwaherini ndugu zanguni.

Yasinta Ngonyani said...

Mwal. Mhango ndugu ni ndugu......ahsantebkwa mchango