Tuesday, September 2, 2014

KAPULYA SI MPENZI WA SCALFU NA KULIMA BUSTANI TU HAPANA ANAPENDA MIKOBA PIA!!!

 Nimeupenda mno mkoba huu rangi yake na jinzi ulivyokaa kaaa
Huu nilinunua nilipokuwa Estonia nako kazuri....Je wewe msomaji unapenda kukusanya nini labda bangili ???au shati? au labda viatu?:-)

4 comments:

MAMA WANE. said...

mie huwa napenda Hereni na viatu.japo sio vya gharama sana ata mtumba lakini ndio maradhi yangu.
Mama wane.

MAMA WANE. said...

mie huwa napenda Hereni na viatu.japo sio vya gharama sana ata mtumba lakini ndio maradhi yangu.
Mama wane.

Yasinta Ngonyani said...

Mama Wane!...nimefurahi kusikia ugonjwa wako...naona tupo njia moja hata vyangu sio vya gharama........

Ester Ulaya said...

mimi viatu na vitenge na mikoba...hadi huwa naishia kugawa maana vinakuwa vingi halafu havivaliwi