Sunday, September 28, 2014

NAPENDA KUWATAKIENI WOTE JUMAPILI/DOMINIKA NJEMA!!!

Hivi ndivyo nilivyoonekana jumapili ya leo baada tu ya kutoka kanisani kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunilinda na kuniepusha na majaribu mengi na  mabaya. Napenda kuwaombea watu wote  wafu na wazima. UJUMBE WANGU WA LEO NI :- Kristo ni tumaini letu.

4 comments:

Anonymous said...

asante dada ujumbe wako mzuri sana.Out of topick mimi ni mpenzi sana wa blog yako dada sasa kuna kitu ninachoombanimekuwa kama kuna mtu au hata wewe dada yasintah kuna zile nyimbo zilizokuwa zinapigwa wakati wa maombolezo wa kifo cha hayati julias kambarage nyerere jamani kama kuna mtu yeyote anajua jinsi ya kupata ktk youtube maana nimeribu sana sikufanikiwa kupata zile nyimbo zilikuwa zinanigusa sana mbarikiwe sana na wapenda sana

Yasinta Ngonyani said...

Karibu sana hapa kibarazani kwetu...nimesikia ombi lako. Nitafanya utafiti

Steven Bulamu said...

Amina!

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Steve! Ubarikiwe!