Monday, September 8, 2014

MWENZENU NIMETAMNI KWELI MLO HUU JIONI YA LEO...DUH MATE YANACHURUZIKA TU HAPA...

Sina jinsi nimebaki kutamani tu leo maana nimeishiwa unga ... halafu ebu angalia  hayo maharage mabichi ...ila inakosekana mboga majani maana mimi na mboga damudamu.....je wewe utakula nini jioni hii au sijui mchana  huu?

3 comments:

Ester Ulaya said...

duh...kitu cha ugali, maini na maharage

Yasinta Ngonyani said...

Ester ....Yaani we acha tu...nimetamani ile mbayaaa

obat cytotec said...

obat telat bulan i think your blog very informative cytotec thanks for sharing obat penggugur