Saturday, September 13, 2014

NIMETAMANI HII...UTAMADUNI OYEEEEE!!!

Huki kiatu/sandali nimekifia kabisas yaani nimekipenda mno nitatafuta tu mpaka nikipate...JUMAMOSI NJEMA KWA WOTE!!

4 comments:

sam mbogo said...

kwanza huyo mdada ana bonge la mguu lazima atakuwa myamwezi!! wala si mngoni?. kweli ni nzuri kuna kama hizi niliziona bongo kama sikosei,ninahakika zipo bongo. wamasai wana tembeza kama hizi. kaka s

Yasinta Ngonyani said...

Kaja S...kwa nini unafikiri ni mnyamwezi?.....na sio mngoni?.ni lazima nikipate

Ester Ulaya said...

oyeeeee.......kiatu kitamu hasaaa

Yasinta Ngonyani said...

Kumve tupo wengi ...njapo ni lazima nitafute. .nimekiåenda mno