Thursday, September 4, 2014

VAZI LA LEO GAUNI : NAONA IWE PICHA YA WIKI!!!!

 Ukiwa mfupi kuna kila njia ya kuwa mrefu kwa mfano hapa kusimama kwenye kiti:-) ujanja eehhh . Halafu sijui madada huya anataka kuruka pia.
 Hapa afadhali mdada katulia
Tabasamu kwa mbali.
Gauni hili nimenunua:- Indiska
 

10 comments:

Anonymous said...

Mashallah umependeza kweli kweli. Ungetupia na kaushungi ungefunika ngoma kabisa! By Salumu.

Anonymous said...

Indiska iko wapi?

Ester Ulaya said...

umependeza my dada

Mama Wane said...

umependeza na gauni rangi zake nzuri sana.kweli ungetia na ushungi ungepewa salama leku.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Salum! Ushungu ntavasa siku nyingine ahsante kunikumbusha.

Usiye na jina...indiska ipo karibu kila sehemu wansuza vitu kutoka india.
Mama Alvin ahsante.
Mama wsne ahsante sana...ushungi siku nyingine

NN Mhango said...

Umekwatuka ili mbaya. Uhitaji kuongeza wala kupunguza dadangu.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Mhango!! Ahsante .

Manka said...

Umependeza sanaa jamani hiyo rangi imetuliaa

Erik said...

Umependeza sana mama 👍

Yasinta Ngonyani said...

Manka! Ahsante ni kweli rangi zimetulia ni rangi zangu...:-)
Erik Mwanangu! Ahsante!