Wednesday, September 17, 2014

MAMA MJASILIAMALI AKIWA AMEBABA ZAMBARAU ANAKWENDA KUUZA!!!

Maisha ni kuyakubali na mwisho wa siku utaona mafanikio yake. Ila ukisema unataka mafanikio ya haraka hakika sijui kama yapo. Nimependa kuona watu/huyu mama anavyojituma. Mafanikio ni kujituma. NAWTAKIENI WOTE JUMATANO NJEMA NA KUMBUKENI TUPO PAMOJA.

5 comments:

Ester Ulaya said...

yaani Zambarau zanikumbusha Taboraaaaaa.....na kipindi nipo shule ya msingi nimezila sanaaa

Hongera mama mjasiliamali kwa juhudi hizo

Yasinta Ngonyani said...

Mie sikumbuki kama nimezile kwa kweli...nimetamani kweli

sam mbogo said...

Pia mimi nimekula zambarau sana tu ni tamu.ila sijuwi unaweza kuzifanyia nini zaidi ya kula kama tunda. Nikiwa namaana kama mfano zabibu unaweza kutengeneza mvinyo/kinywaji.Je kwa zambarau wanao juwa waweza tengeneza nini cha ziada kutokana na tunda hili/hili. kaka s

Yasinta Ngonyani said...

Mmmmhh! Kwa pamoja twaweza kufanya utafiti...

Mama Wane said...

Mmmmh! nimekumbuka mbali sana.yaani nilizila sana wakati nipo mdogo.hivi kwa lugha ya kizungu zinaitwaje? na Dar pale kisutu zinapatikana?