Showing posts with label jumapili ya kwanza ya mwezi 6 2016. Show all posts
Showing posts with label jumapili ya kwanza ya mwezi 6 2016. Show all posts

Sunday, June 5, 2016

NAPENDA KUWATAKIENI WOTE JUMAPILI HII HII YA KWANZA YA MWEZI HUU SITA (6)

Napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutulinda wote tulioiona siku ya leo. Na pia naomba Mungu baba uyapokee maombi yangu kwa wagonjwa  na wenye shida nyingine ili wapate nafuu. Pia naomba sala zangu kwa marehemu wote zisikike kwako Baba. Amina.