Sunday, June 5, 2016

NAPENDA KUWATAKIENI WOTE JUMAPILI HII HII YA KWANZA YA MWEZI HUU SITA (6)

Napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutulinda wote tulioiona siku ya leo. Na pia naomba Mungu baba uyapokee maombi yangu kwa wagonjwa  na wenye shida nyingine ili wapate nafuu. Pia naomba sala zangu kwa marehemu wote zisikike kwako Baba. Amina.

2 comments:

kasian wa mdunduwalo said...

Nawe pia

Yasinta Ngonyani said...

Kasiani! Na chilawu mewawa, Ahsante sana .