Friday, June 17, 2016

NI IJUMAA NYINGINE NA NI MWISHO WA WIKI KWA MAPUMZIKO KWA WALIO WENGI BASI UKIPATA WASAA CHUKUA DAKIKA YA KUPUMZIKA KWA MZIKI HUU...KWA AFYA


SIKILIZA NA HAPA PIA

NAWATAKIENI WOTE MWISHO MWEMA WA JUMA! KILA BINADAMU ANAHITAJI KUPUMZIKA/UTULIVU.

2 comments:

NN Mhango said...

Nimependa mandhari ya picha, zumari na mbinja a ndege ukiachia mbali kutosikia maneno ya wanamuziki wenyewe. Nimeshindwa kutoa credit. Sijui niseme huu muziki ni wa ndege au wanamuziki? Hata hivyo,nakupongeza kwa muziki huu mulua kweli kweli.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Mhango...najua unajua kwamba swala la muziki si lazima kujua nini kinasemwa. na huu muziki unafaa sana pale unapojikuta akili imechoka...Ahsante