Thursday, June 9, 2016

SKETI YA KITENGE:- HIZO NDIZO NGUO AZIPENDAZO KAPULYA ZA KUJIMWAGA.....!

Nguo za kujimwaga ni ngua nizipendazo mimi/kapulya  halafu hii sketi ni bomba sana ina mifuko pia. Kwa hiuyo hapa hakuna haja ya kuwa na pochi. Pia rangi zake ni maridadi kabisa....Vitenge tunavyo pia Kanga  za kuweza kushona, kuvaa na kupendaza sana...NIMEIPENDA MNO HII SKETI!

2 comments:

Veronica Kasala said...

Haya umependeza

Yasinta Ngonyani said...

Vero Ahsante! Na pia Karibu sana!