Tuesday, June 14, 2016

LEO TUPO KIJIJI FULANI MBAMBA BAY...

Nimeipenda taswira hii..inanikumbusha mbali sana. Hakika tumetoka mbali ...ngoja niache panapo majaliwa tutaonana tena. Kapulya.

2 comments:

Penina Simon said...

Mazingira yanavutia sana!

Yasinta Ngonyani said...

Dada P! Yaani hapo ni picha tu, ukifika karibu hutapenda kuondoka..:-)