Friday, June 24, 2016

NAWATAKIENI MWISHO MWEMA WA JUMA ...NYASA HII! CHAKULA AKIPENDACHO KAPULYA

Ugali wa muhogo, Kisamvu, dagaa wabichi na kipande cha samaki tena kichwa...nakwambia hapo ni utamu tu....


3 comments:

Nicky Mwangoka said...

kitamu sana. You make my mouth watered

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Nicky... Karibu sana kujumuika...nilijua tu utajawa na mate mdomoni kwa kukitamani chakula hiki....:-)

Anonymous said...

Lenele kunyanja vakemela kondowoli