Friday, April 8, 2011

MAJINA YETU/LEO TUANGALIE MAJINA YA KISUKUMA!!!

Kuna wakati niliwahi kuandika kuhusu majina/vibongo vya wangoni. Kwa kujikumbusha zaidi au kwa wale waiowai kusoma basi ingia hapa .Utaona hayo majina na pia maoni ya watu. Na sasa leo katika upekuzi wangu nimekutana na majina ya wenzetu Wasukuma ebu angalia hapa napo, majina haya nimeyapata Jamii Foum.
Majina ya Kisukuma
1. Masanja Mawenge 2.N'kwabi N'gwanakilala 3.Rupondije Inuka 4.Mabula Nkwimba 5.Nyeunge Maneno 6.Budodi Nzobhe ya Siketi JidulamabambasiN'gwanangwa Masabhuda, Masumbuko, Wangaluke, Nchimika, Ng'wana Malundi, shindike Bunani Jidalu, Jidiku ikong'oro, Igunani Matanda, Isungangwanda Kidalu, 6: Sawaka Ng'wana gandila, Itendegu Jibinza, Shija, Mabura, Kasase, Nzungu, Midelo, Lufulo Ndama Nyangwaka Ndili, Lisolilo Ligasu, Kaswalala Buyonzi, Nyanzobe Mayunga, Ngw'ana Nh'wani, Jodoki Mpembele, Ngwizukulu jilala, nyanzala ng'wandu, mwanasabuni lushanga, manyilizu shiganga, kabadi madilisha, mashenene masagida, chenge saguda, pula kiheka, tabu lukelesha, ngasa ingombe, masanja malale, malila lushumbu, luhende mwanansale, Ngosha Magonya, Manyanza, Jongh'ela, Nkulukulu, Ngw'alali, Ngh'ungulu, Zanzui, Sanagu, Shushu. TUKUTANE TENA WAKATI MWINGINE!!!!!! IJUMAA NJEMA KWA WOTE!!!!

3 comments:

Simon Kitururu said...

Labda MAJINA ni kithibitisho BINADAMu anaupeo mdogo wa kutofautisha mambo .

Na yasemekana MTU hugeuka akiitwa kwa staili fulani jina lolote lile hata lisilo lake !:-(

Nimewaza tu kwa sauti

Ijumaa njema kwako pia Mdada mrembo Yasinta!

Yasinta Ngonyani said...

Mt.Simon labda kweli majina ni kithibitisho. Duh kuna majina mengine nimeshindwa hata kuyatamka huwezi kuamini Tanzania yetu ina majina magumu hivyo:-) Ha ha ha ha hahaaa kugeuka kwa kuitwa jian lisolo lako hii napinga:-( Ijumaa ilikuwa bombi kinamna yake!!!

Unknown said...

Pia kuna majina kama:Shigela,,ngon'gho