Thursday, April 7, 2011

Ujumbe toka kwa Nangonyani!!! Aka Kapulya Mdadisi!!

Maisha sio zile siku ambazo zimepita. Isipokuwa ni zile siku uzikumbukazo.
SIKU NJEMA KWA WOTE!!!!!

13 comments:

Baraka Chibiriti said...

Asante Dada Yasinta kwa ujumbe mzuri. Wanasema waswahili; YALIYOPITA SI NDWELE....BALI TUGANGE YAJAYO! Nimefananisha na usemi huu.

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

mh tukumbuke siku tulipoanza kutizama tuliyozuiwa eti ni ya kikubwa, au kuanza mechi

Unknown said...

SIKU NJEMA PIA

Mija Shija Sayi said...

Na hilo ndilo neno la leo!! Asante mdadisi wetu.

EDNA said...

Umenena mdada

Simon Kitururu said...

Siku zilizopita zina umuhimu wake katika MAISHA ya sasa ya MTU pia.

Na labda siku zisizokumbukwa zinamchango wake na labda zile zikumbukwazo hazikumbukwi kiusahihi kwa kuwa jinsi vitu vikumbukwavyo na watu sio lazima kuwa hukumbukwa kiusahihi ukizingatia watu wapendavyo kutia nakshi KUMBUKUMBU zao ili kuremba au kuongezea maumivu kichumvi uhalisia wa matukio.:-(


Siku njema !

Rachel Siwa said...

Asante iwenjema kwako pia!!!!Maisha ni hadithi ndefu!!!!.

Unknown said...

Kupima Imani yako ni kwa thamani kuliko Dhahabu.

Goodman Manyanya Phiri said...

Naye aliesahau siku zote zilizopita ... maana yake inawezekana kabisa kusahau yote...ni sawa kabisa na kipofu kwendelea mbele na maisha yake. Amekikosa chuo kikuu cha maisha, na atakufa mjinga pia urithi wa watoto wake ni huohuo ujinga wake.


Nakutakia nguvu zaidi, Nangonyani. Sote marafiki zako tunamitihani kama wewe; na hupo peke yako kamwe! Tunakuombea kila siku upone kiroho na kimwili!

emu-three said...

Wakati mwingine maisha yaliyopita ni dhahabu...hata kama yalikuwa `magumu na ya kusikitisha' lakini ile kumbukumbu yake ina thamani sana, kwasababu gani `hairudi' ili u-edit, na hata kama `utajirudi' lakini utakuwa sio wewe yule yule...kwani umri na mabadiliko...yanakuwa sio yale tena!

Raymond Mkandawile said...

Ni kweli kabisa dada Nangonyani Yasinta,hatuna budi kujua kuwa duniani tuwapita hivyo hatuna budi kujiandaa na kuwa tayari kila itwapo leo.

Goodman Manyanya Phiri said...

@M3

Barabara!

Anonymous said...

Ni kweli kabisa, asante kwa ujumbe huu. kila la heri mpendwa