Sunday, April 24, 2011

KHERI KWA SIKUKUU YA PASAKA KWA WOTE!!


BWANA AMEFUFUKA NA WOTE TUFURAHI LEO....KHERI SANA KWA PASAKA!!!

7 comments:

Fita Lutonja said...

Bwana amefufuka na tukumbuke kuwa alikufa kwa ajili yetu kwahiyo yatnupasa kuomba kwa nguvu zote nashukuru Mungu ameniokoa na sasa najvunia Mungu wangu kwani yeye ni yule yule leo na jana Amen

Mija Shija Sayi said...

Nakubaliana na kaka Lutonja hapo juu. Heri kwa sikukuu ya pasaka Yasinta.

Simon Kitururu said...

Nafikiria hivi WAISLAMU au tu waaminio kitu kingine wakati kuna watu ambao mpaka wanajua kalenda hii ifanyayo kuna Wakristo wanaamini ndio PASAKA,...
.... kabla ya kuingia swala zima la kiimani kuwa MESAYA alifufuka baada ya kufa wanawazanini!

Nimewaza tu kwa sauti!:-(

Penina Simon said...

Mungu awe nawe pia katika siku kuu hii ya pasaka

nyahbingi worrior. said...

mmmmmmmmmmhhhh

mumyhery said...

Heri ya sikukuu ya Pasaka na wewe pia na familia kwa ujumla!

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

Kheri ya pasaka na kwako pia!