Sunday, April 17, 2011

PASAKA HIYOOO INAPIGA HODIIII:- LEO NI DOMINIKA YA MATAWI!!!

Na blog ya Maisha na Mafanikio inapenda kuwatakieni wote Dominika hii ya matawi upendo,furaha na amani. DOMINIKA NJEMA YA MATAWI KWA WOTE!!!!

6 comments:

Mija Shija Sayi said...

Nawe pia.

mgaya said...

ok buddy and u 2

Goodman Manyanya Phiri said...

Imani ni kitu muhimu sana katika maisha ya binadamu. Mwenye imani ni binadamu. Mwenye kukosa imani ni kiumbe tu!

emu-three said...

Ni kweli kabisa Goodman, umenena yaliyo moyoni mwangu, bila imani, utakuwa kiumbe wa ajabu kabisa. And u 2 my lovely sister Yasinta

Yasinta Ngonyani said...

Nachukua nafasi hii kuwashukuruni wote kwa kunitakia j´pili njema... jumapili yangu imekuwa njema kwa ujumla. Pamoja Daima!!

Anonymous said...

Tunashukuru sana kwa kutuwish pasaka njema.