Showing posts with label salama durudani. Show all posts
Showing posts with label salama durudani. Show all posts

Wednesday, May 20, 2009

JINSI YA KUCHEZA NA HERUFI

NATAKA KUSEMA KWA YEYOTE YULE:-

U= Ulale

S= Salama

I = Ila

K= Kumbuka

U= Ukiamka

M= Mshukuru Mungu

W= Wako

E= Elewa kuwa

M= Mungu wako

A= Anakupenda