Showing posts with label Mapishi ya ugali kwa jiko la mafiga. Show all posts
Showing posts with label Mapishi ya ugali kwa jiko la mafiga. Show all posts

Monday, October 2, 2017

NIMEKUMBUKA MBALI SANA....MAPISHI YA UGALI KWA MTINDO HUU

KUMBUKUMBU:- Mafiga matatu  ni mtindo uliozoeleka sana kwa jambo la mapishi  hasa sisi tuliokulia vijijini...HAYA KILA LA KHERI. JUMATATU NJEMA.