Tuesday, July 26, 2011

NIPO SONGEA NA NIPO SALAMA

Habari za siku nyingi ndugu zanguni na samahani sana kwa kupotea kwa muda mrefu. Ila msiwe na wasiwasi nipo salma pia familia. Hapa Songea ni baridi sana hasa asubuhi na jioni. Leongo kubwa ni kutaka kuwataarifu tu kuwa nipo salama. Na kuwa tupo pamoja daima. TUTAONANA KARIBUNI. KAPULYA