Tuesday, January 5, 2010

LEO NI SIKU YANGU YA KUZALIWA




Napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunilinda salama mpaka kufika siku hii ya leo na kuongeza limwaka limoja zaidi. Namshukuru kwa kuniepusha na mambo mabaya, magonjwa na pia vishawishi.

42 comments:

Anonymous said...

hongera sana dada mungu azidi kukulinda

Mija Shija Sayi said...

Hongera sana sana sana, umefikisha miaka mingapi?

Stay blessed.

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Kila la heri dada Yasinta. Mungu Aendelee kukulinda na kukubariki wewe pamoja na familia yako. Bila shaka miaka mingi iliyojaa furaha na mibaraka ingali mbele yako!

Mija Shija Sayi said...

Yasinta nimerudi tena. Unajua nilitoa maoni kabla sijafungua hiyo picha, aiseee huo wimbo umenikumbusha mbaliiiii bagamoyo chuo cha sanaa, Kuna huyo Ndunguru akikuchezea lizombe wote mnazima fegi, halafu kuna Tungi kusaga na Menard Mponda.. hiyo timu ilikuwa ikiingia jukwaani raha ya shule unaiona hii... yaani kwa ufupi you have made my day!!

Ombi, hebu naomba utuandikie lyrics za wimbo huo maana mimi huwa nayamung'unya tu.

Once again Happy birthday.

Anonymous said...

Hongera kwa kuadhimisha sikukuu ya kuzaliwa. Mungu akupe uhai na maisha marefu na baraka tele.

Faith S Hilary said...

Happy Birthday dada!!! God bless you!!! xx

Godwin Habib Meghji said...

Happy Birthday Da Yasita

Mzee wa Changamoto said...

Hepi besdei tu yu dia dada
Lav yu

Mbele said...

Hongera sana. Mungu akuzidishie, uendelee kuwa pamoja na walimwengu kwa moyo mmoja.

Nimesikiliza hizi ngoma. Zimenikumbusha Mfaranyaki, Bombambili, Ruhuwiko, Matogoro, kila sehemu. We wacha tu. Bahati mbaya nilipopita Songea mara ya mwisho, mwaka juzi, nilisahau kununua njuga. Leo hapa ofisini pangekuwa hapakaliki :-)

Hongera sana.

Bennet said...

Mungu akuongezee miaka mingine 100, HONGERA SANA

chib said...

Hongera sana.
Unaelekea kwenye kundi la senior citizens :-)

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

hongera binti weye, ukubwa huo be careful maana unavozidi kukua ndivyo simon mwana wa kitururu anavyokosa kutokwa udenda hovyo

EDNA said...

Happy birthday dada, Mungu na akuzidishie miaka mingi zaidi duniani.

Simon said...

HAPPY BIRTHDAY TO U,HAPPY BIRTHDAY TO U,HAPPY BIRTHDAY TO U,HAPPY BIRTHDAY DEAR YASINTA,HAPPY BIRTHDAY TO U!!!!!!

mumyhery said...

hongera sana Mungu ajalie afya njema, twakuombea heri na baraka tele na mafanikio katika shughuli zako Happy Birthday

camilla said...

grattis på födelsedagen mamma!
hongera kwa kutimiza miaka mama!
happy birthday mum!

Simon Kitururu said...

Happy Birthday Da Yasinta!

@Kamala: Umesahau nini FILOSOFI ya Da Mija ya JICHO LA NDANI?

Kwa jicho la ndani udenda hauishi!

MARKUS MPANGALA said...

m'pem'pani Nnungu, iye akike bwino wankazi wa Klayson. Ndi chambwino ku'mpem'pa Nnungu, osati chaka chimoji tu.....Lol umenisoma Yasinta?

MUNGU MKUBWA, YASINTA MKUBWA, JICHUNGE AKUCHUNGE.

John Mwaipopo said...

hongera dada yasinta ngonyani kwa ku-add limwaka limoja. unakumbuka nilipoongeza limwaka limoja hivi karibuni uliniuliza swali fulani hivi. na wewe je haya mamwaka yamefika mangapi jumla.

profesa mbele umenichekesha kweli. hao wazungu wangekukoma leo. ngoja nikienda songea ntakutumia kwa DHL.

Upepo Mwanana said...

Hongera sana, Mungu yu nawe

Anonymous said...

Happy birthday dada, nakuombea mwenyezi Mungu akujalie afya njema wewe pamoja na familia yako, na zaidi ya yote akujalie baraka zake kwa kadiri ya mahitaji yako

Mungu akubariki

Michael said...

Happy birthday dada, nakuombea mwenyezi Mungu akujalie afya njema wewe pamoja na familia yako, na zaidi ya yote akujalie baraka zake kwa kadiri ya mahitaji yako


Mwenyezi mungu akubariki

Born 2 Suffer said...

Happy brthday 2 u Yasinta nakuatakia maisha mema na marefu, kila la kheri.

Koero Mkundi said...

HAPPY BIRTHDAY DADA YASINTA NGONYANI, MUNGU AUMRI MREFU, UISHI KAMA BIBI YANGU KOERO....

KAKA KITURURU , HUKUBALI TU KUSHINDWA UDENDA HUO SI UTAISHIWA NA MAJI MWILINI KAKA.....

Simon Kitururu said...

@Da Koero: ushawahi kusikia maswala yamkumbayo KIPENDA ROHO?

malkiory said...

Hongera! Yasinta.

Anonymous said...

HAPPY BIRTHDAY MDOGO WANGU-
nAKUTAKIA MAISHA MAREFU YENYE BARAKA TELE

Anonymous said...

Grattis på födelsedagen min kära hustru! Mwl.K

PASSION4FASHION.TZ said...

Hongera Yasinta kwa siku yako ya kuzaliwa.xx

James Adolwa said...

Happy Birthday Yasinta. Hongera

Faustine said...

Hongera Mdau! Nakutakia miaka mingi duniani.
Enjoy and keep us informed.
Faustine

Unknown said...

Naamini sijachelewa, Hongera dada yangu Yasinta kwa kuwa mkubwa.
Mungu akupa maisha marefu na yenye afya wewe na familia yako.

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

Kama alivyo kaka Kaluse, nna imani sijachelewa...HONGELA Da YASINTA!

Halafu nashindwa kuelewa hii...kwa umri ulokuwa nao mwaka jana ulinyimwa bia na sigara dukani pamwe na kuonyesha kitambulisho.... :-(

Je mwaka huu si unanyimwa unga wa mahindi? :-)

poWEROFGODFIRECHURCH.BLOGSPOT.COM said...

HAPPY BIRTHDAY DADA

Yasinta Ngonyani said...

Nachukua nafasi hii kwa kutoa shukrani zangu za dhati kwa upendo wengu kwa kweli uumeonyesha upendo mkubwa sana kwangu. Na siku hii kwangu imekuwa nzuri kabisa na hii yote imetokana na upendo wenu kwangu ni furaha sana kuwa na ndugu/marafiki kama ninyi mnaojali na wenye upendo kama huu. Nawatakieni nanyi wote pia Maisha na Mafanikio mema. UPENDO DAIMA!!.

Majaliwa said...

Hepi besidei na hongera:"Mwenyezi-Mungu akubariki na kukulinda,pamoja na familia yako; Mwenyezi-Mungu awaangalie kwa wema na kuwafadhili;Mwenyezi-Mungu awaoneshe wema wake na kuwapa amani".Amina

Mwanasosholojia said...

Dada Yasinta Hongera sana, natumaini sijachelewa sana...nilikuwa kijijini! Hongear mno na nakutakia kila mafanikio katika maisha yako...mimi leo ndiyo birthday yangu!

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Mathew asante na wala ujachelewa kwani hata wiki haijaisha na kumbe nawe unatimiza miaka wiki hii pia na pia tupo mwezi mmoja. Hongera kwa sisi watoto wa Januari.

Anonymous said...

du, asante Yasinta kwa muziki murua kabisa wa kinyumbani! pia hongera kwa siku ya kuzaliwa.

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante sana usiye na jina na uwe na wakatio mzuri na hu mziki wa kujnyumba.

ray njau said...

"SIKU HAZINGANDI LAKINI ZINAYEYUKA"

ray njau said...

"SIKU HAZINGANDI LAKINI ZINAYEYUKA"