Sunday, January 10, 2010

NALIA:- NA JENNIFER MGENDI:- JUMAPILI NJEMA WOTE!!!

3 comments:

chib said...

Jumapili njema nawe. Be blessed

EDNA said...

haka kawimbo huwa nakapendaga sana,kuna mwingine unaitwa Mchimba mashimo huo ndio Usiseme dada kajaaliwa sauti.
Jpili njema kwako pia.

Anonymous said...

EDNA, kwani unasema lugha gani? Ati "aka kawimbo..."
Kama kiswahili ndio shida si uongee lugha ya mama!!!???
Umeniaibisha sana...n.k.t!