Saturday, January 16, 2010

LEO NI SIKU ALIYOZALIWA MTAKATIFU SIMON KITURURU!!

Napenda kukutakia kila la heri kwa siku hii maalum. Yaani ni tarehe ambayo ulifungua macho yako katika ulimwengu huu. Ila sina uhakika kama ilikuwa siku ya jumamosi pia. Nakuombea Mwenyezi Mungu akujalie afya njema wewe na familia yako. Na zaidi ya yote akujalie baraka zake kwa kadri ya mahitaji yako.

17 comments:

chib said...

Hongera zake mkuu sana

Anonymous said...

Heri kwa sikukuu ya kuzaliwa Simon!
Ujaaliwe afya njema na mafanikio tele!

Faith S Hilary said...

aaaaaaaaaaaaw!!! Happy Birthday kwa kaka Simon

nyahbingi worrior. said...

Yale yale niliyosema.Birthdays.

mumyhery said...

Happy Birthday Simon, Mungu akupe umri mrefu. afya njema, akuzidishie nguvu na ujasiri

John Mwaipopo said...

Yehuu! Mtakatifu Simeone azaliwa. "Ongela" kwa kutimiaza maika 'kazaa'. Mungu akujaalie miaka tele hata ukikata rasta zako, utakazoziacha zifike unyayoni na zikikunjwa zifike kichwani. Amen!

Your face has not changed much in the pic. hope it was in mbeya, au?

Mija Shija Sayi said...

Yaani sipati picha huo ugimbi leo, na hivi ni jumamosi duuh. Jamani hongera sana Kitururu Mungu akusaidie mwaka huu ufanye kweli.

Stay in peace.

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

hepi besidei mt. natumai hutakuwa mtakavyombo leo kama alivosema Da Mija :-(

John Mwaipopo said...

mtakatifu nilisahau mija kanikumbusha. vipi hatupatI walau chupa moja (ile kubwa) ya KUNYWAGA, sorry KONYAGI?

PASSION4FASHION.TZ said...

Happy birthday kaka Simon,furahiy siku yako.

Fadhy Mtanga said...

picha yake tu ya utotoni inaonesha 'katakuwa katoto machachari kweli kweli wasee!'
Broda Mtaktifu Simon Kitururu, heri ya siku ya kuzaliwa.

Anonymous said...

hongera! you're getting younger!

Bennet said...

Salamu zangu zimechelewa lakini hazija chacha HONGERA SANA

Simon Kitururu said...

Asanteni Wote kwa kunikumbuka!
Asanteni sana tena sana!

Mwanasosholojia said...

Mkuu natumaini sijachelewa sana..Happy Birthday!

Christian Bwaya said...

Happy birthday Baba Mtakatifu.

Yasinta Ngonyani said...

Ingawa nimembandika hapa Mt. ila nadhani nami napaswa kumtakia heri ingawa nimechelewa kwani siamini kuna kuchelewa katika jambo hili. Hongera sana Mtakatifu Simon. Nakutakie maisha marefu na uwaona wajukuu wake na wajukuu wa wajukuu wako.