Saturday, January 9, 2010

HONGERA DADA AJUNA NA KAKA MATHEW SENGA- Mwanasosholojia kwa siku yenu ya kuzaliwa!!

Hongera mwanasosholojia

Hongera dada Ajuna :-Dada wa Musee wa Changamoto
Ni furaha kwa blog ya MAISHA kuwapongezeni kwa siku hii malumu kwani ni pia wote tumezaliwa mwezi mmoja na wiki moja. Hongereni sana, muwe na siku nzuri

5 comments:

Chacha o'Wambura said...

Hongereni bandugu bapendwa....!

mbarikiwe saaaaaana!

peace and love!

Yasinta Ngonyani said...

Chacha o`Wambura nawe umekuwa mganda? Haya ndugu zangu Hongereni sana huu ni mwei wetu. Muwe na siku njema kwa siku hii muhimu. Na pia nawatakieni maisha na mafanikio mema.

Mwanasosholojia said...

Ahsante mnoooo Dada yangu Yasinta..Nimefurahi kugundua coincidence hii nzuri... Hongera nawe tena na tena!

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

Yasinta: mganda ama mkongoman? :-)

Anonymous said...

Hi everyone! I do not know where to begin but hope this site will be useful for me.
In first steps it is really nice if someone supports you, so hope to meet friendly and helpful people here. Let me know if I can help you.
Thanks and good luck everyone! ;)