Showing posts with label kazi ya mikono yangu 2018. Show all posts
Showing posts with label kazi ya mikono yangu 2018. Show all posts

Monday, July 23, 2018

JUMATATU YA LEO TUANGALIA BAADHI YA VYAKULA NILIMAVYO/KAZI YA MIKONO YANGU

Hapa ni kama itakuwa vizuri basi litakuwa tango....

.....na ni matembele ...kama huna ardhi kutosha basi hii ni njia nzuri kupata chakula