Tuesday, July 26, 2011

NIPO SONGEA NA NIPO SALAMA

Habari za siku nyingi ndugu zanguni na samahani sana kwa kupotea kwa muda mrefu. Ila msiwe na wasiwasi nipo salma pia familia. Hapa Songea ni baridi sana hasa asubuhi na jioni. Leongo kubwa ni kutaka kuwataarifu tu kuwa nipo salama. Na kuwa tupo pamoja daima. TUTAONANA KARIBUNI. KAPULYA

14 comments:

John Mwaipopo said...

Ukimya wako nilijua tu ni usongo wa kufakamia likolo lya nanyungu na samaki wa ziwa nyasa. ni matumaini yangu unaendelea kula likizo vema na kusalimia ndugu na jamaa.

ni faraja pia hujatusahau 'wasela' wa hapa kijiweni ingawaje sina uhakika kipimo changu cha kukumiss ndicho sawa sawa na kwa 'wasela' wengine hapa kijiweni.

yule jogoo mkubwa mkubwa karibu na bomba la maji bado yupo?

Mbele said...

Nami nategemea kuingia Songea keshokutwa, tarehe 28. Simu yangu ni 0754 888 647 na pia 0717 413 073

Fadhy Mtanga said...

ninafurahi kusikia kutoka kwako kuwa upo salama mjini Songea. pole kwa mambo yote yaliyokuzonga...lakini Mungu ni mwema siku zote.
u are missed so badly.....

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

safi sana Da Yasinta!

Mwanasosholojia said...

Swaaafiii!

Anonymous said...

Hei Maisha ni jinsi gani maisha huko Tanzania, unaweza kuona mwanamke mzuri! Sina mengi ya ziara, lakini mimi nina kufanya blog kwa dada yangu Mei Claerhout, itabidi URL ya blog kuwa! Salamu zaidi kama Guido natuurmanjak .
http://natuurmanjak.skynetblogs.be
http://mayskunstwerken.skynetblogs.be/

Simon Kitururu said...

Pamoja!

emu-three said...

Tupo pamoja dada Yasinta. Likizo njema!

Rafikio Kay said...

nimefurahi kukusikia rafiki - ukipata muda tafadhali nipigie simu yangu.

Unknown said...

safari njema dada yetu. Mungu na akulinde wewe na familia urudi salama salimini!!

Raymond Mkandawile said...

Missing u so much dada "YASINTA"..wish u to enjoy ure holiday but please come back soon we need ure challenges and contributions...Otherwise enjoy it as it last and regards to all over there...

Mija Shija Sayi said...

Twakusubiri kwa hamu...safiri salama.

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

karibu kanda ya ziwa

Yasinta Ngonyani said...

Napenda kuwashukuruni wote kwa moyo wenu wa mapendo kwangu na kwa ujumla kwa familia yangu nzima. Mnapendwa sana.