Saturday, August 16, 2014

JUMAMOSI YA LEO NA USEMI /UJUMBE HUU!!!

Mimi ni mmoja, lakini mimi ni mmoja tu. Mimi siwezi kufanya kila kitu, lakini hata hivyo naweza kufanya kitu fulani.
JUMAMOSI NJEMA KWA WOTE!!

2 comments:

Anonymous said...

Hicho kitu fulani, kuna wenzio hawana uwezo wa kukifanya! By Salumu.

Yasinta Ngonyani said...

Ni kweli kaka Salumu. ..ila labda anaweza kufanya ambacho mimi siwezi!