Wednesday, August 27, 2014

MSIMU WA MAVUNO UMEFIKA /YAANI MWISHO WA BUSTANI KWA MWAKA HUU NA HAYA NDIYO BAADHI YA MATOKEO....!!!!

 viazi mviringo (sisi wangongo twasema matosani)
 Vitunguu saumu/swaumu
Na hapa ni vitunguu maji / au ni vitunguu vya kawaida
NAWATAKIENI SIKU NA KAZI NJEMA

7 comments:

Ester Ulaya said...

Hongera sana dada kwa kuvuna. Bustani oyeeeeeeeeeeee

Yasinta Ngonyani said...

Mama Alvin... ahsante katibuutukule

Matha Malima said...

Umejitahidi kazi nzuri

Manka said...

Dada yangu hongera,yaani unanifanya nizidi kupenda bustani.Naomba kuuliza swali,hivi utajuaje vitunguu swaumu vimekomaa?mie nimeviacha hadi vikatoa maua makubwa na vimeanza kukauka nimeving'oa vichache hakuna kitu.Asante.

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante Manka naweunanipa moyo zaidi ....vituu saumu ni kama vitunguu maji vinachanua na kukauka majani na ndiyo vimekomaa. ....pole sana kama kulikuwa hakuna kitu. Kitu kingine ukitaka panda sasa ikija mwakani vinachipua tu na kuendelea kukua

Rachel siwa Isaac said...

Duuhhh..nilipitwaje?..Siasa yetu kilimo wana Tanzania..Tushike majembe!!!Najua nimewekewa tuu.

Mungu azidi kubariki kazi za mikono yako dada yangu.

Yasinta Ngonyani said...

Kachiki...umewekewa tena na nyama pia mchicha na njegele....