Monday, August 25, 2014

HUU NDIO MLO WANGU WA LEO MCHANA SUPU YA BROCCOLI....

 Broccoli kabla haijachemchwa
Na hapa tayari  supu...nimechemsha dakika kama tano halafu nimemix na hapa tayari kuliwa na kiteremshio ni maji . KARIBUNI MJUMUIKE NAMI!!

7 comments:

NN Mhango said...

Kwangu Broccoli lazima iwepo kwenye chakula changu kila uchao. I love and like this stuff.

Yasinta Ngonyani said...

Yaani kaka Mhango hunipiti mimi napenda sana broccoli ....halafu unaweza kula kwa mitindo mbalimbali....hata hivi hivi na kushiba....

Anonymous said...

Dada Yasinta,sasa hiyo supu ni broccoli tupu bila chochote?
Mama wane.

Yasinta Ngonyani said...

Haswa mama wane hivyohivvyo si unajua mie na mikate hatuendi. ..

Ester Ulaya said...

napenda broccol mimiiii...hadi nimemuambukiza Alvin...safi sana dada. mlo wenye afya huoo

Rachel siwa Isaac said...

Mmmhhh hii kitu imenishinda mwenzenu..yaani siiwezi kabisaaa...

Yasinta Ngonyani said...

Ester....safi sana na hivi Alvin anapenda maana si watoto wengi wanapenda.

Kachiki ....ndivyo ilivyo huwezi kupenda kila kitu hapa duniani.