Wednesday, July 7, 2010

Jamani, Jamani, Jamani BadoTU??????????

Maisha haya bado tu jamani, tuache kupigana tuishi kwa amani, upendo na tupendane.

5 comments:

nyahbingi worrior. said...

Dada,

Nimewahi kusema hukusu kiumbe hatari hapa duaniani kuliko wanyama.

Kiumbe hicho ni bin adam.kulingana na vitabu wanasema bin adam ndie mwenye akili kuliko wanyama lakini sio.

Let us reason....

unakumbuka katrina?wanyama kama nyoka,panya,mende walihama eneo lile la katrina mapema sana,lakini bin adam kwa upeo hafifu akafa.

why do we fight?
why do soldiers carry guns?
why do teachers carry caines?
why?
why do we use guns to bring peace?
why do we have police station kama kweli bin adam alipewa upeo wa kufikiri?why?

ng'ombe atachungwa kwa bakora,bin adam je?

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

labda maswali ya nyabing hayana majibu, ila kwa kweli bina damu na ubunifu wake,, ni hatari kwetu sote

hawa wanakosea, badala wapigane mbele ya wengiwapate pesa, wanapigana uswazi, ni zoezi la onyesho la ngumi nini!

sasa jitie kiherehere kama ni ndoa eti unataka kumuokoa huyo dadayako dhidi ya dume korofi, atakuhaibisha pale atakapokuomba nauli ajirudie kwa mume wake mpendwa kama sio kukutuhumu kuingilia na kuharibu ndoa yao!!\

life goes on

Unknown said...

tabia hii sidhani kama itakwisha. Ni bora nchi za Afrika zikaweka sheria kama za ughaibuni kuwalinda wanawake wasinyanyaswe kwa vipigo. Tatizo la jamii nyingi za kiafrika bado tuna mambo yale yale ya kizamani ya kumuadhibu mwanamke kama mtoto. Salamu kwako mwanamke wa shoka, maoni yako yanahitajika hapa ili tuelimishane kuhusu hili suala. Kwenu wanawake mfikiriao ni sifa au sawa kupigwa na mwanamume, si sawa hata kidogo kwani ninyi ni wakubwa wenzetu na migogoro yoyote inaweza kutatuliwa kwa maongezi...

Lulu said...

Sijui kama kuna wanawake wanakubali kunyanyaswa ki hivi. Labda kwa kule kwa kina Ng'wanambiti ambao wao wasipopewa haki yao ya msingi kikabila (kupigwa) huona mapenzi yameisha.

Anonymous said...

Jamani hii ni kweli au wanaekti tu