Thursday, July 22, 2010

MAMBO YA UPAKO


8 comments:

Unknown said...

Hapa tunaomba msaada kwa Kamala kwa hiyo Lugha iliyotumika kwa Upako....LOL

Blackmannen said...

Hapo mimi nilichoambulia ni "...amafuta!", kwingine kote nimepita bila kuona ndani. Ila nimebahatika kwa upesi sana, kuuona mkono wa Mganga ulipotua kwa Mpakwa. Maeneo hayo sio mabaya mtu kuyatembelea japo kwa mkono.

This Is Bond=James Bond, NO I mean Black=Blackmannen

Unknown said...

Mmmh! hii nayo kali. Kabla hatujaropoka bora tupate tafsiri yake. Je hicho ni Kihaya au Kirundi?

emu-three said...

Hiyo kali utafanya watu wengine wakimbilie huko hata kama hwana wito. Hapo kuna ujumbe uliojificha, hata kama lugh haieleweki.
Nakumbuka sana hadithi moja ya madada wa watu walienda kusomea mambo hayo ya dini , na kulikuwa na kiwembe mmoja alijiunga huko akiwa hana nia sana ya imani hiyo, akawa kila ikifika usiku anawapitia madada wa watu akijifanya katumwa na Roho, na akina dada wa watu kwa vile walikuwa ni wageni wakawa wanakubali, wakijua ndio mambo ya kiroho. Alipogundula tabia yake hiyo mbovu akawa keshafanya uharibifu mkubwa.
Mambo hayoo yapo katika jamii, yakujifanya wewe ni mtu fulani ili kupata kitu fulani, lakini sio kweli!

Koero Mkundi said...

Ngoja nijaribu:

"BIBLIA INATUAMBIA KATIKA WAEBRANIA KWAMBA, WATENDA DHAMBI WOTE WAPAKWE MAFUTA"

Angalizo:
Hii ni tafsiri yangu.........

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...
This comment has been removed by the author.
EDNA said...

Mmmmh makubwa nakosa hata la kusema.

rumi said...

haya jamani duu ni nimechoka hapa hayo maombezi ni balaaa!!!!!