Tuesday, July 20, 2010

Ilibidi uchunguzi ufanyike kwanza ili kuja wapi vuvuzela zinatoka kabla ya kuanza kupuliza!!

Ungejua vuvuzela hiyo imetoka wapi?
Duh! Kumbe!!


Sasa unajua mwanzo wake ni wapi, kaazi kwelikweli


8 comments:

emu-three said...

Ina maana vuvuzela ni kwa wanaume tu, na huenda ni dawa ya kurefusha mambo au sio, whatever the case, huo unaweza ukawa utani, na sijui u-mtani wa hawo walioanzisha.
Nimesikia neno hilo limeshaingia kwenye siasa, sasa kama asili yake ni hiyo sijui hapa kwetu tutaichukuliaje kwani Watanzania kwa kuiga tunaongoza, Ningeshukuru sana kama tungeika kutengeneza ndege au magari...MMH, Jamaa hapa ananiambia sijawahi kufika Kariakoo mtaa wa Gerezani, anasema pale kuna mafundi wa kila namna wanaiga kila kitu, wanatengeneza mithili ya hicho kitu wameshindwa kumtengeneza mtu tu...kweli nikashangaa.
Basi kama ni hivyo waboreshwe watu kama hao, sio kuwaweka ndani kama mzee mmoja huko kwetu alikuwamtundu akatengeneza bunduki, aliishia kuwekwa ndani , ukimuuliza huo utundu vipi hataki hata kusikia.
Haya tubakie kuiga uvuvuzela na urembwende na....
emu-three

John Mwaipopo said...

wewe yasinta!!

sasa hao watu wa guinea wanatumia kama vazi au cond...m. iwavyo ni ufananishaji wa kufurahisha.

Lulu said...

Sipulizi tena vuvuzela

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

hiyo ni filimbi ya kupuliza chini.....lol!

Blackmannen said...

Yasinta kumbe mtundu, umewagundua watu hawa wenye kufuata kikamilifu hali ya hewa, ikiwa joto wanatinga vuvuzela zao na nyakati za baridi wanakula pamba za nguvu.

Kwa kuwa mmeliita vazi lao la nyakati za joto ni vuvuzela, basi yawezekana ni vuvuzela kweli ya akina mama. Ndiyo maana akina mama wengi wa kizungu wameshabikia karibu wote kununua vuvuzela. Dada Lulu usiache kupuliza vuvuzela lina raha yake! Wazungu wakipenda kitu ujue kinalipa, si bure.

It's Great To Be Black=Blackmannen

Israel Saria said...

Du hii kali...maana mimi nimeyanunua kibao kwa ajili ya marafiki zangu, tatizo ni kuwa wengi wao hawawezi hata kuyapuliza..nafikiri sio kitu kizuri sana kujifunza maana kila anayeshindwa kupuliza anampa mwenzie sasa hapo ndio "utajiju"

MARKUS MPANGALA said...

oooooooooooooohhhh jamani kumbe ndude inarefushwa???/ Lol ha ha ha hii kondomu jamani au FILIMBI YA KUPULIZIA CHINI a.k.a UVUNGUNI

Anonymous said...

Heri yangu mimi nisiyewahi kupuliza hivyo vitu vyenu,na ndo maana labda zikabatizwa jina la "vuvuzela"