Thursday, July 1, 2010

Tufungue mwezi huu wa saba nahawa Warembo wa kihimba/picha ya wiki hii!!

Kwa kweli ukitaka kupendeza ni lazima uwe mvumilivu. Angalia nywele/rasta za akina dada hawa. Halafu nimeipenda picha hii WAHIMBA wao hawahitaji nguo wapo kiasili kabisa.

8 comments:

Blackmannen said...

Yaaani ni "Saa sita kamili" mchana, saa za Afrika Mashariki, na wala sio saa sita mchana saa za Ulaya.

T-shirt ikivalia hapo bila sidiria, hadi kufika jioni itakuwa imepata "tobo". "Blacks" wanasifa zao za pekee.

It's Great To Be Black=Blackmannen

Anonymous said...

uuwi!!!,wako wapi warembo hao nikachumbie jamani....dada Yasinta naomba namba zao za simu....LOL

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

nadhani nusu ya mwaka huu itaisha vema kwa kumbukizi ya picha hii..lol!

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

duh, mbona wako uchi???

kumbe wanawake wasipovaa nguo wanapendeza, yansinta na wewe anza kutembea kama hao

Unknown said...

uzuri wa asili wa mwanamke wa kiafrika!! Hakika wamependeza na hizo embe dodo!

Yasinta Ngonyani said...

Blackmanen! umeniacha hoi:-)

Usiye na jina hilo ni kabila la himba kutoka Namibia.

Chacha una maana gani nusu ya mwaka huu utaisha vema?:-)

Kamala! acha bwebwe wewe!

Kaka Mrope nawe:-)

Penina Simon said...

Aisee!!!!!!, kwa kweli ni warembo.

Anonymous said...

Good with you