Thursday, April 2, 2015

NA TUANZE MWEZI HUU WA NNE KIHIVI:- KAPULYA AMEANZA KUTAMANI KUANZA KULIMA BUSTANI

Jinsi siku zinavyosogea kwa msimu wa bustani mikono yangu inazidi  kuwasha sana, na hivi nisemavyo nimekwisha anza atika  baadhi ya mbegu ..:-) Nasubiri kwa hamu sanaaaaa. ALHAMIS KUU IWE NJEMA KWA WOTE

2 comments:

Mama Wane said...

Dada Yasinta usinisahau na mimi mbegu za majani ya maboga kama ulizipata.

Yasinta Ngonyani said...

Mama Wane...hujanitumia add..yako ndugu yangu