Tuesday, April 28, 2015

VAZI LA LEO...KAPULYA HUYOOO!!

Hili ndilo vazi langu la leo ...mwanamtindo Kapulya huyo:-)

5 comments:

Anonymous said...

Da Yasinta umependeza kwelikweli! Ungeongezea na kamkanda ingetoka bab kubwa.By Salumu.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Salumu...ahsante. kamkanda nilisahau bwana!

NN Mhango said...

Hakika umetokezea. Tenge huwa halidanganyi. Nimependa hivyo vitabu kwenye background. Wahimize watoto wavisome vitawakomboa.
Kwa ufupi kweli hiyo ni Kapyula fashion show.

Yasinta Ngonyani said...

Hahaaa kaka Mhango Ahsante kaka. Vitabu hapa vipo vya lugha zote ni kuchagua tu maana hadi kingoni vipo kiswahili ndo usiseme...:-) Kapulya fashion show eti eeehh?? Nimependa hii...

ray njau said...

Kapulya mimeremeto nyumbani!