Monday, April 6, 2015

TUANZE WIKI HII YA PASAKA NA PICHA HII AMA KWELI....

Sijawahi kuona jogoo wakicheza mpira wala kusikia. Kaaaazi kwelikweliii  JUMATATU YA PASAKA IWE NJEMA KWA WOTE! KAPULYA

4 comments:

NN Mhango said...

Da Yasinta, hawa jamaa ni yanga ua samba au CCM na CUF? Wameniacha hoi kuonyesha ubunifu na kuwa na akili hata kuliko baadhi ya binadamu.

Nicky Mwangoka said...

Duh hii kali mwenzangu

Anonymous said...

Hii ni "foto duka" By Salumu

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Mhango :-)

Kaka Mwangoka ...ni kali haswaaa.

Kaka Salumu:-)