Thursday, April 30, 2015

TUUMALIZE HUU MWEZI WA NNE NA KIPANDE HIKI CHA MZIKI WA DUNIA NI MSONGAMANO- NDALA KASHEBA


Napenda kuchukua fursa hii na kumshukuru Mungu mwezi umeisha vizuri bila misukosuko mingi sana. Natumaini na ninyi ndugu zangu  ilikuwa hivyo. Natumaini tutauanza mwezi wa tano vema.
UJUMBE:- HONGERA KWA WALE WOTETIMIZA MIAKA MWEZI HUU NA PIA POLE SANA KWA WALE WOTE WALIONDOKEWA NA WATU WAO/WETU WA KARIBU. Kapulya wenu.

2 comments:

ray njau said...

Ni jambo jema kutoa shukrani.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Ray! Karibu tena. Ahsante