Tuesday, April 14, 2015

VYAKULA TUNAVYOPASWA KULA ILI TUWE NA AFYA BORA!!

Tusipuuzie vyakula vya aina hii ili kulinda afya zetu... Mie hapo nimeutamani hasa  muwa huo:-) Tuzingatie ndugu zanguni. Basi mie niwatakieni siku njma sana.  NENO LA LEO:- Usiache kufanya kitu kwa sababu umechoka, acha kwa sababu umekimaliza,

2 comments:

Rachel siwa Isaac said...

Mimi hapa nilipo miwa siioni sana, niliwahi kuona duka moja la kiafrika lakini muwa umekondaaa na kukauka kabisa.

Yasinta Ngonyani said...

Hahaaaa Kachiki sahau kabisa kupata muwa huko uliko na hata mie hapa haipo kwani hata hakuna ajuaye nilibeba mwaka fulani ilifika salama...