Sunday, April 19, 2015

JUMAPILI NJEMA NA WIMBO:-IMBOMBO INUNU MWA JESU (KAZI NI NZURI KWA YESU) NA BEATRICE KITAULI


JUMAPILI NJEMA!

3 comments:

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Kwanini tusiseme kuwa ntchito za bwino zili mu Ambuye?
Ni wazo tu.

Yasinta Ngonyani said...

Duh! Prof. Mhango umenikumbusha hilo neno ntchito...likiwa na maana kazi si ndiyo??

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Da Yasinta kweli ntchito ni kazi na ukiitaja ni kwa heshima kweli kweli. Usukumani na unyamboni huiita mirimo. Wakikuyu huita wela na wazulu na wandelebele wa Zimbabwe huiita umsebenzi huku wa wafaransa wakiita travail na majina mengine mengi tu.