Wednesday, April 29, 2015

ZILIPENDWA:- MWANAUME HUMWOMBA MWANAMKE KUCHEZA NAYE!

Ni vijana wa enzi hizo walipokuwa wakisakata. Unaona raha ya mziki ilivyo, mwanamke mpaka kavua viatu na kuweka kando. Ama kweli ...Haya tuungane nao basi:-) Kapulya

4 comments:

Penina Simon said...

nimependa walivyovaa

Yasinta Ngonyani said...

Dada P. Kama ulikuwepo katika mawazo yangu.

ray njau said...

cheza kwa staha!

Yasinta Ngonyani said...

Haswa...mpaka raha yaani