Tuesday, April 21, 2015

SWALI LA LEO:- UNAJUA NI KABILA GANI HUTUMIA MBINU/UBUNIFU HUU NCHINI TANZANIA?

Hakika watu ni wabunifu ...ila binafsi ningependa kuwabeba mgongoni..au wewe mwenzangu unasemaje?

5 comments:

NN Mhango said...

Kama si wajaluo basi ni wakulya tokana na mwonekano wao ila huu si ubunifu bali utesaji watoto.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Mhango mie nadhani ni Wagogo au Wanyakyusa..maana hupenda sana kubebe kwa mtindo huo. Ila kama ulivyosema huu ni utesaji ukiangalia hata hawajakaa vizuri wala raha.

Rachel siwa Isaac said...

Mimi naona kama hatari hii..

Vimax Pills said...

nice and funny

Meizitang Botanical said...

thanks for sharing