Friday, April 17, 2015

UJUMBE WA WIKI HII KUTOKA KWA KAPULYA

Huu ujumbe nimetumiwa na msomaji wa Maisha na Mafanikio:-
CHOCHOTE UTAKACHOWEKA KWENYE AKILI YAKO KITATOKEA, UKIWEKA KUCHINDWA UTASHINDWA, UKIWEKA UOGA NDIO UTAKAOTOKEA CHAGUA UNACHOWEKA KWENYE AKILI YAKO. IJUMAA IWE NJEMA KWA WOTE MPITAO HAPA......Kapulya.

2 comments:

Anonymous said...

Hii inafaa kuwashauri madereva wa mabasi na malori, maana wakiweka akilini ataenda kukogangana na lori au basi ndivyo inavyotokea. By Salumu.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Salum basi itabidi tufanye mbinu ili kuwashauri madereva hao....