Tuesday, March 31, 2015

TUMALIZE MWEZI HUU WA TATU NA PICHA HII:- NIMEPENDEZA EEHH!!

Ubonifu huo..hahaaa si unaona nilivyopendeza eeehh! Watoto ni wabunifu sana ..Mwisho wa mwezi uwe mwema kwa wote na kumbuka kesho usidanganywe..

3 comments:

Rachel siwa Isaac said...

Nami nawatakieni mwanzo mwema wa mwezi na wote wanaopita hapa...
Watoto ni wabunifu sana..
wewe ulipokuwa mtoto ulikuwa unapenda kutengeneza nini?

Yasinta Ngonyani said...

Mimi nilikuwa napenda kutenfeneza midoli hasa ya migomba, vigunzi na udongo...pia viatu/ndala za mabanzi ya migomba nawe je?

Nicky Mwangoka said...

Nimefurahia taswira hiyo sana. Mie nilikuwa natengeneza magari ya makopo, manati, na watu wa udongo mvua ikinyesha. Teh teh teh utoto raha!