Tuesday, March 17, 2015

NAJIVUNIA MALIASILI YETU

Angalia jinsi wanavyopendeza lakini inasikitisha kuona/kusikia asilimia kubwa ya wanyama pori imeteketea hakuna Tembo au wanyama wengu wa kutosha katika Mbuga kama hapo kale.

4 comments:

ray njau said...

Asante kwa weledi wako.

Yasinta Ngonyani said...

Ni furaha kwangu kutangaza nchi yangu

Anonymous said...

Lazima CCM ife ili tembo wapone! By Salumu.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Salumu...mmmhhh!!