Friday, March 13, 2015

PICHA YA WIKI:- KULA MNO NI HASARA NA HASA KIPINDI HIKI CHA KWARESMA!

NAWATAKIENI WOTE MWANZO MWEMA WA MWISHO WA JUMA. IJUMAA NJEMA!

8 comments:

Rachel siwa Isaac said...

Asante Kadala wa mimi...

ray njau said...

Mhh inatisha!

Yasinta Ngonyani said...

Karibu kachiki wangu...ila najiuliza sijui watamaliza kweli?
Ni kweli kaka Ray inatisha ...je wewe unafikiriwatamaliza???

Anonymous said...

Hawa ni wasanii tuu, sidhani kama watamaliza disi lote,na hata vijiko wanavyolia ni vikubwa mno, tonge halitapita! By Salumu.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Salumu ! Usishangae ukaona wmemaliza?

Nicky Mwangoka said...

Hawa Kwaresma kwao hakuna

NN Mhango said...

Hawa wanjemba hawali wanaonja. Hilo sosi mifuta itawanyotoa roho wallahi.

obat cytotec said...

obat telat bulan i think your blog very informative cytotec thanks for sharing obat penggugur