Saturday, March 7, 2015

NIMETUMIWA ZAWADI KUTOKA NYUMBANI ....

 
 Nimewahi kuona hizi soda na majina lakini sikuwahi kuona jina langu na pia ubini/jina la ukoo wangu. Nimeipenda sana hii zawadi ingawa si mpenzi wa soda. AHSANTE SANA  KWA ZAWADI. JUMAMOSI NJEMA KWA WOTE!!!

9 comments:

mumyhery said...


hongera sana

Yasinta Ngonyani said...

Dada M! ahsante sana:-)

Emmanuel Thadei said...

hapo unanitisha, mbona hizo soda zimeonesha jina lako na ukoo wako,
Iweje tena hujawahi kuona jina lako na ukoo wako!
Kunywa soda mara mbili kwa wiki husaidia kurekebisha kiasi cha asidi tumboni!

Yasinta Ngonyani said...

Emmanuel! Ndiyo soda zimeonyesha jina langu na la ukoo LAKINI MIMI SIKUWAHI KUONA JINA LANGU NA LA UKOO KATIKA SODA!

ray njau said...

wajanja na biashara zao na hawana hata jema moja.wanajali pesa tu kwa majina yetu.watulipe au?

NN Mhango said...

Tutumieni nasi tufaidi hii soda basi.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Ray inawezekana usemacho ni kweli....

Kaka wa mimi Mhango utapata zote kwani mimi situmiagi/sinywi soda:-)

Rachel siwa Isaac said...

Haya Yasinta na Lekopozzzz..hahahahaa

Yasinta Ngonyani said...

Rachel:-) Unaona eeehhh!