Friday, March 20, 2015

CHEKA UNENEPE: KUTANA NA MUUZA SAMAKI MKOROFI NA MTEJA MWENYE MASWALI!!

MTEJA; Samaki bei gan?
MUUZAJI; 5000!
MTEJA; Mwisho?
MUUZAJI; Mkiani!
MTEJA; Mbona samaki mwenyewe kalegea hivyo?
MUUZAJI; Muulize labda alikuwa shoga baharini!  
MTEJA;M bona una majibu ya shombo lakini?  
MUUZAJI; Kwasababu nauza samaki ingekua nauza sukari majibu yangekua matamuu.
NAWATAKIENI WOTE IJUMAA NJEMA!!

4 comments:

NN Mhango said...

Hao jamaa nina usongo nao hasa ikizingatia kuwa sili meat nyekundu. Hata leo nimewaramba si haba japo si aina hiyo.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Mhango yaani sio peke yako mie nimewaangalia na kukumbuka nyasa yangu:-)

NN Mhango said...

Ila hiyo biashara na lugha yake kiboko. Namna hii mtu akiwa maskini au akiambiwa mali anazo lakini anazikali agombe?

Nicky Mwangoka said...

Dah huyu muuzaji kiboka. Bora ununue uondoke zako tu.